Za 'masiku' familia yangu ya JF!
Kuna jambo linatafakarisha na wakati mwingine kukasirisha sana. At age of 15-24(peak), wasichana wengi hawapendi kushauriwa.
Ukitaka uwe adui yake, basi wewe jaribu tu kumshauri chochote. Hawapendi kuingiliwa, na ndipo katika wakati huu huwaacha marafiki zao...