usafiri wa mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wizi katika mwendokasi umezidi. Je, nini kifanyike?

    Mimi ni mdau na mwananchi nayepanda usafiri wa Udart. Mwezi huu wa June nimeshuhudia wezi wanne kukamatwa na watu zaidi ya 30 kulalamika kuibiwa simu na pesa wakati wa kugombania mwendokasi hasa hasa vituo vya kivukoni na Gerezani na Manzese ambapo nimeshuhudia watu wakikamatwa katika vituo...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kituko na aibu kwa nchi dhidi ya wageni!

    Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti. Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…