usafi wa nywele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usafi wa nywele

    Izi nywele za sehemu za siri tunyoe wakuu zinatoa harufu at least tupunguze
  2. Baada ya kusuka rasta ama vinginevyo ni kwa muda gani inafaa kuziosha au kusuka tena kuepusha usumbufu na kero kwa wengine?

    Changamoto ya harufu nzito ya uvundo wa jasho kwenye nywele huwa kero na usumbufu kwa wasio husika. Kwa wazoefu, ni katika muda gani yafaa nywele kuoshwa, kusukwa tena bila kufumua na kuficha kwa wigi ambalo huzidisha harufu nzito zaidi?🐒
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…