Kuna uzi wangu mmoja nilielezea sana namna nilivyokuwa nachomekea shati kwenye suruali.
Leo nataka nilelezee kidogo kuhusu usafi wangu wa mwili. Muhimu ni haya mambo 2:
1.Kupiga mswaki, ambapo huwa napiga mara 3 kwa siku yaani asubuhi nikiamka,mchana baada ya kula na usuku baada ya kula.Hivi...