Changamoto ya upatikanaji wa majisafi kwa wananchi wa mtaa na kata ya Makangarawe, Wilaya ya Temeke imepatiwa suluhu kwa kuchimbwa kisima cha majisafi huku wakitakiwa kulinda miundombinu yake.
Mradi wa kisima hicho chenye urefu wa mita 120, ujenzi na uwekaji tenki la maji la lita 10,000 pamoja...