Kampuni ya Universal Music Group East Africa imetangaza rasmi ushirikiano wake na Mwimbaji Staa wa muziki wa Afrika Mashariki, Lady Jaydee ambaye anatambulika kama mmoja wa sauti zenye ushawishi mkubwa na za kudumu katika tasnia ya muziki kwenye ukanda huu.
Ushirikiano huu unaakisi imani ya...