Habari Zenu Jina langu ni Juma Jumanne, KIJANA Mfanyabiashara wa Mazao SINGIDA
Nilianzisha Kampuni Yangu (LYANGA FLOUR MILLERS) ya kusindika unga lishe, Sembe na Dona, lakini Biashara ilisimama kwa sababu sikua na Mashine yangu Binafsi na sababu zilizo nje Ya Uwezo Wangu
Kwa sasa nina KIWANJA...