Njoo tushare yale ambayo tumeamka tunajivunia na yanatupa furaha kwa siku ya leo.
Binafsi, leo kwenye safari yangu ya kupunguza uzito, rasmi nimeshuka chini ya 70kg, najivunia na nimefurahi sana.
Nikifika lengo langu la uzito ninaoutaka nitarudi kuwasimulia mapito na hekaheka za safari hii...