ulinzi wa israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri wa Ulinzi Israel Katz amuonya Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika ujumbe kwa Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem: Utalipa gharama kubwa kwa kufyatua risasi kuelekea Israeli usiku wa kuamkia sikukuu. Hutaishi ili kuiona kesho yako kwa sababu utakuwa ndani kabisa ya kuzimu pamoja na wanachama wengine wa mhimili...
  2. Waziri wa Ulinzi wa Israel akishuhudia Setalaiti OFEK-19 ikirushwa angani!!!

    Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya yatailinda nchi ya Israel na watu wa wake!!! HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA Wow, Israel imezindua silaha yake...
  3. Waziri wa ulinzi wa Israel Israel Katz awaonya watawala wa Syria!!

    Waziri wa ulinzi wa Israel Katz anamtaja kwa jina Sharaa wa Syria kuwa ndiye aliyehusika na kurusha roketi, na kuapa 'jibu kamili' hivi karibuni Kufuatia shambulizi la roketi kutoka Syria dhidi ya Israel jioni ya leo, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Jerusalem inamwona kiongozi wa Syria...
  4. Mahmoud Abbas amechanganyikiwa. Isingekuwa ulinzi wa Israel Hamas wangemuweka ndani

    Hajielewi hata anachosema. Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas. Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa...
  5. Waziri wa Ulinzi wa Israel atoa onyo kali kwa magaidi wa Hamas huko Gaza

    Waziri wa Ulinzi Israel Katz: "Licha ya shirika la kigaidi la Hamas kukiuka mara kwa mara na kukataa kwake mipango uliotolewa na mjumbe maalum wa Rais Trump katika Mashariki ya Kati Witkoff, tulijibu ombi la mpatanishi la kuruhusu siku chache zaidi za mazungumzo. Na wakati huo huo...
  6. Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

    Wanaukumbi. Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake. =============== Netanyahu dismissed defense...
  7. Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

    Wanaukumbi. Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu. Nguvu sio kiini cha kila kitu Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu "Sio malengo yote inaweza...
  8. U

    Waziri wa ulinzi wa Israel awataka wapiganaji wa Hamas kunyoosha mikono juu na kujisalimisha na kuwaachia huru Mateka

    Wadau hamjamboni nyote? Hamas nyoosheni mikono mjisalimishe! Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: --- Gallant calls on Hamas fighters to surrender, release hostages following Sinwar killing Defense Minister Yoav Gallant calls on Hamas fighters to release the hostages and surrender following...
  9. U

    Waziri wa Ulinzi wa Israel Jenerali Yoav Gallant asema mazungumzo yeyote ya kusitisha vita Lebanon yatafanywa "chini ya mtutu wa bunduki"

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant amesema mazungumzo yoyote ya kumaliza mapigano nchini Lebanon lazima yafanyike "chini ya moto" wakati wa tathmini ya hali ya eneo la kaskazini. Akikutana na makamanda wa Kitengo cha 146 cha akiba, Gallant amesema kukamatwa kwa wapiganaji wa...
  10. Ulinzi uliopo Israel ni mkubwa kuliko taifa lolote duniani

    Tumeonya Sana, tumehubiri Sana, tumeshuhudia sana kuhusu Vita zinazoendelea ya middle East. Viongozi na watu mbalimbali wameonywa Sana kuhusu taifa LA Israel. Mpango wa Mungu kuhusu Israel lazima ukamilike. Ahadi ya Mungu kuhusu Israel lazima ikamilike. Biblia imesema waziwazi kwamba wa Israel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…