Timu 30 kutoka mataifa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na Ureno zinajiandaa kwa mashindano ya kwanza ya dunia ya roboti, ambapo roboti hao wenye akili bandia (AI) watashiriki kwenye mechi za soka za wachezaji watano kwa upande mmoja bila msaada wa binadamu.
Soma pia: Kufika mwaka 2030...