ukosefu wa mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tupeane Updates: Hali ya mtandao ikoje mahali ulipo? Shughuli zako zinaenda kama kawaida?

    Wakuu, Hali ya mtandao imekuwa ya kususua tunaenda karibia wiki ya tatu sasa. Ni shida kuingia katika baadhi ya sites kiasi kwamba inabidi utumie vipi. Pia soma: Historia ni mwalimu mzuri, msiseme sikuwaambia! Wale ambao kazi zetu zinategemea uwepo wa mtandao kwa sehemu kubwa zinaathirika...
  2. Duniani nzima imetetereka leo kutokana na hitilafu ya mtandao kwenye kampuni ya Microsoft, Tanzania tumejifunza nini?

    Wakuu, Tunategemea mambe mengi toka kwa Wazungu, leo mifumo ya Microsoft imesumbua mambo mengi yamesimama, wote wanaotumia products za Microsoft wametikiswa na suala hili, swali ni je, sisi wategema wa Wazungu tumejifunza nini? Tunafanyaje kupata ujuzi huo na kuanzisha vya kwetu? Tuna program...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…