azama hali ilivyo hii leo mapema kabisa asubuhi katika jiji la Mbeya hususani katika maeneo ambayo yamekuwa na mikusanyiko mikubwa ya watu ikiwemo eneo la Kabwe.
Hii inafuatia kuwepo kwa vuguvugu lililokuwa linaendelea mitandaoni kuhusu maandamano ya disemba 09,2025, ambapo hata hivyo serikali...