ukandamizaji haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubadhirifu wa mali ya umma moja ya nguzo muhimu kuimarisha CCM - dola katika ukandamizaji haki nchini

    TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote. Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili. Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
  2. PreGE2025 Lissu: Dkt. Slaa ni tishio kiasi gani kama sio ukandamizaji, tunahitaji kutengeneza nchi mpya kukomesha uonevu

    Mwenyekiti wa Chadema na Wakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Tundu Lissu amesikitishwa kushikiliwa kwa muda mrefu mteja wake huyo ambaye ana umri wa miaka 76 bila kupewa dhamana huku akieleza kuwa ni uonevu. "Hivi inawezekanaje kwa serikali hii, na mapolisi wake na waendesha mashtaka wake kumweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…