ukamataji waandamanaji dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Dar: Kamatakamata yaendelea mitaani baada ya maandamano

    Maeneo ya Sinza, Watu wanakamatwa randomly. Watu wengi sana wameingizwa kituo cha Polisi Mabatini. Wanalazimisha kukamata wapita njia hata wanaokwenda kutafuta dawa. Raia wanapigishwa magoti huku wengine wakiambiwa squat, ruka - ruka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…