ugumu wa kutongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutongoza ni ngumu hasa ukiwa hauna hela

    Ila jamani hasa ukiwa hauna hela kutongoza mdada mpya na kuanzisha mahusiano mapya ni ngumu sana msione watu wanarudia ma ex zao huku nje kupata mtu mpya muaze maisha mapya mpaka mje mzoeane mpeane siri sio leo na wala sio rahisi mpaka mtu akukubalie na akuamini itabidi ufanye kazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…