ugonjwa wa vipele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya malengelenge eneo la kiunoni mpaka kitovuni

    Habari wakuu. Nini tiba ya malengelenge ama vipele design kama vinaeka maji hivi kwandani maeneo ya kiunoni mpaka sehemu ya kitovu na maumivu yake kwa ndani ni makali sana kiasi kwamba hakuna ushirikiano seheme ya juu kichwani na miguu?
  2. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

    Wakuu naombeni ushauri, Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah ni nini?, na amesha enda hospital amepewa dawa za fungus na sindano ya aleji lakin wapi? Msaada please
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…