ugawaji wa majimbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ugawaji wa majimbo kwa sasa ni ustawi wa maendeleo ya jamii zetu au maslahi binafsi ya watu

    Ukikaa unawaza je kuna haja ya kuendelea kujaza wabunge bungeni na kulipana posho na kuongezea serikali mzigo na kuacha huduma za kijamii zikiendelea kudozorota mfano afya na elimu ambazo miundombinu inajengwa ila mashuleni walimu hakuna vitendea kazi hafifu, kwenye afya majengo yapo wahudumu...
  2. PreGE2025 Ugawaji wa majimbo mjadala mzito

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikifunga mchakato wa kuchunguza na kugawa majimbo Machi 26, 2025, kumekuwa na mjadala kuhusu vigenzo vya ugawaji wa majimbo, kuyaongeza na kubadilisha majina. INEC imepewa mamlaka...
  3. W

    PreGE2025 Ndolezi Petro apinga mijadala potofu juu ya uwagaji wa majimbo

    Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kupitia ACT Wazalendo, Ndolezi Petro, ameitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhakikisha kuwa ugawaji wa majimbo unazingatia vigezo vya kisheria badala ya kuongozwa na maslahi ya kisiasa. Akitoa kauli yake kwa...
  4. Ndolezi Petro: Napinga mijadala potofu juu ya ugawaji wa Majimbo ya Uchaguzi

    NAPINGA MIJADALA POTOFU JUU YA UGAWAJI WA MAJIMBO YA UCHAGUZI Hili la kugawa majimbo ni jambo la msingi sana kujadiliwa kwa mapana yake, na hoja yangu katika mjadala huu itajikita kuunga mkono ugawaji wa majimbo kwa kuangazia kiini cha mjadala wa kugawa majimbo ya uchaguzi kwa kuzingatia vigezo...
  5. K

    PreGE2025 Ninaomba na kuishauri Tume Huru ya Uchaguzi iachane kabisa na mpango wa kugawa majimbo.

    Hivi karibuni Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza na kuomba maeneo mbalimbali kutoa/kuleta mapendekezo ya kugawa majimbo ili kuongeza idadi ya wawakilishi/Wabunge katika Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania. Binafsi ninawaomba/kuwashauri kuachana kabisa na wazo hili la kugawa majimbo kutokana sababu...
  6. B

    PreGE2025 Wakati ambao Watanzania wanakabiliana na Hali mbaya ya kiuchumi, Serikali ya CCM inaongeza majimbo, 2015 iliongeza majimbo 25

    Tanzania Chini ya Uongozi wa Serikali ya CCM itaendelea kupiga MatchTime. Yaani kwenda mbele na nyuma huku hali za wanyonge zikiendelea kudidimia siku hadi siku. Inasikitisha sana kuona viongozi tulionao wanaona ni sawa kuongeza nafasi za vyeo na wala sio nafasi za Fursa za kiuchumi uwekezaji...
  7. PreGE2025 Olengurumwa ataka mjadala wa Kitaifa kabla ya kugawa majimbo ya Kiuchaguzi

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Kutetea Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema utaratibu wa ugawaji majimbo unaotumika kwa sasa sio sahihi hivyo vigezo vinavyotumika viboreshwe au kuangaliwa upya kabla ya ugawaji wa majimbo utakaofanyika mwaka huu. Kupata matukio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…