Wakuu,
Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza, Jenerali Moses Ali, amefanikiwa kutetea kiti chake cha Ubunge wa Jimbo la Adjumani West baada ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2026.
Jenerali Ali, aliyegombea kwa tiketi ya chama tawala cha National Resistance Movement (NRM), aliwashinda wagombea wengine watatu...