ufisadi nida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dickson Maimu wa NIDA na wenzake wafutiwa kesi zote

    Dickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa rasmi mashitaka yao yote leo na DPP katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Oktoba mwaka jana, alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha zikabaki kesi tatu: Uhujumu uchumi, kuisababishia Serikali hasara na Matumizi mabaya ya Madaraka...
  2. JamiiForums Tanzania DPP awafutia kesi Maimu, wenzake wawili mashtaka 10 ya utakatishaji fedha

    FRIDAY OCTOBER 22 2021 Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) amewafutia mashitaka 10 ya utakatishaji fedha washtakiwa watatu kati ya watano akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu. Mbali na Maimu washitakiwa wengine waliofutiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa zamani wa NIDA, Dickson Maimu akutwa na kesi ya kujibu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkutana kesi ya kujibu aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu na wenzake wanne na hivyo wanatakiwa kuanza kujitetea. Maimu na wenzake wanne wanakabiliwa na mashtaka 55 yakiwemo ya kutakatisha fedha na kuisababishia...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Lugola: Aliyekuwa Mkurugenzi NIDA, Dickson Maimu na Jack Gotham wasipoitikia wito ‘watapata tabu sana’

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameipa wiki mbili kampuni ya Kimataifa ya Iris Corporation Berhard impe majibu ya kuwa italeta mtambo wa kutengeneza kadi ghafi au Dola za Marekani Milioni 14 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 32 za Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…