Wadau, mm ni kijana mpambanaji umri wangu ni miaka 24 mkazi wa Dar es Salaam, Tegeta. Ninatafuta gari ndoa kwa ajili ya kufanya kazi za taksi ya mtandaoni maarufu kama Bolt.
Nina leseni. Ningependelea zaid kuingia mkataba na Boss.
Piah kama kuna mtu anahitaji dereva kwa ajili ya safar ndefu...