Uchawi wa macho a.k.a Evil eye ni aina ya uchawi unaotupiwa muhusika ukuue au kukutaabisha kupitia jicho la mchawi.
Mara nyingi uchawi huu ufanyika katika maeneo yenye umati mkubwa wa watu mfano magengeni, mikahawani, minadani, n.k
Uchawi huu ni Kijicho kwa maana ya wivu wa kichawi na roho...