Wafuasi wa mgombea wa nafasi ya Urais wa Chama Cha UMD wakimsindikiza mgombea wao Mwajuma Mirambo akiwa na mgombea mwenza Mashavu Alawi Haji kuingia ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Kwa ajili kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo.
Source EATV...
Nadhani Mzee Kikwete anapaswa kubadilika na kuacha Uswahili wake, amevuruga Uzinduzi wa wenzake wa Bandari Kavu kwa kuchomekea yasiyohusika.
Bila shaka Spana za Mitandaoni kote duniani kuhusu Familia yake kupitishwa bila kupingwa zimemuumiza sana, lakini ni vema angeita Waandishi wa habari...