Uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Fuoni, Zanzibar na Udiwani katika Kata ya Chamwino mkoani Morogoro na Kata ya Mbagala Kuu mkoani Dar es Salaam utafanyika siku ya Jumanne Desemba 30, 2025.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kufanyika kwa uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Fuoni...