Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, ameshangazwa na baadhi ya mawakili wanaopinga uamuzi wa Kamati hiyo kuwaengua wagombea wanne wa urais wa TFF.
Wakili Kibamba amewataka mawakili hao kupitia upya Ibara ya 14 ya Kanuni za FIFA (toleo la mwaka 2024), inayowataka...