Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Mhe. Patrick Mwalunenge katika kuhamasisha makundi mbalimbali wajitokeze kwenye mkutano wa mgombea nafasi ya U-Rais kwa tiketi ya chama chao, ameonekana akiuza samaki katika soko...