Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetuma salamu za pole kwa familia na jamii kwa ujumla ambazo zimepoteza wapendwa wao kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi.
Kupitia taarifa iliyotolewa leo, ubalozi huo umeeleza kuwa unaenzi maisha ya wote waliotangulia mbele ya haki, pamoja na...