Shauri namba 24514 la mwaka 2025 lililofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake, linatarajiwa kutolewa uamuzi leo, Ijumaa Oktoba 24.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...