Staa wa TikTok Fanuel Masamaki Zerobrainer0 ashinda tuzo ya TikTok Video of the Year katika TikTok Awards ya Afrika Kusini mwa Jangwa
Tuzo hii ni hatua ya pili kubwa katika safari yake, ikifuatia ushindi wa Sport Creator of the Year aliyopata mwaka jana.
Baada ya kupokea tuzo, Zerobrainer0...