tutazuia uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mozah Ally: Nimeondoka CHADEMA sababu hatuwezi kujinasibu tutazuia Uchaguzi halafu hatuingii kwenye vyombo vya maamuzi

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, Moza Ally, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya CHADEMA, akilalamikia ukosefu wa mwelekeo wa kisiasa ndani ya chama hicho na kukosekana kwa mkakati wa wazi kuhusu ushiriki kwenye uchaguzi mkuu...
  2. PreGE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

    Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano" Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…