tume ya taifa ya umwagiliaji (nirc)

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto kilimo cha umwagiliaji zawaibua NIRC

    Kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kilimo cha kubahatisha kwa wakulima kutokana na mvua zisizo za uhakika, serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeanza kuchimba visima virefu vya maji hamsini kwa ajili ya matumizi ya kawaida na viwili kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji mkoani...
  2. JamiiForums Tanzania Singida: Mkurugenzi wa NIRC, Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri Dkt. Mwigulu ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese

    Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese lililopo katika halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoani Singida. Aidha Mndolwa amewaelekeza...
  3. JamiiForums Tanzania TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) yaona umuhimu wa Wahandisi wake kusajiliwa

    NiRC Dodoma TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imesema kutokana na uwekezaji mkubwa alioufanya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika miradi ya umwagiliaji ni muhimu wahandisi wa taasisi hiyo kusajiliwa. Lengo ni kuhakikisha wanaosimamia miradi hiyo wanakidhi vigezo na wanatambua wajibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…