Klabu ya Ligi Kuu ya TABORA UNITED imeuzwa rasmi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB.
Timu itakuwa bado chini ya Manager wa TRA Mkoa wa Tabora mpaka mwezi Januari 2026 ambapo itahamia Dar es Salaam. Mameneja na wamutimishi wa TRA mikoa ambayo timu...