tra united sc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Chacha: Tukisikia mchezaji wa TRA United ameuza mechi ataondoka

    RC Chacha kama jinamizi la kufungwa na Yanga bado linaendelea. Maana alidai kuna wachezaji walipewa pesa na baadhi ya viongozi wa Yanga ili waachie mechi ================== Mashabiki wa soka mkoani Tabora wametolewa hofu kuhusu hatma ya timu yao pendwa, Tabora United, kufuatia mabadiliko ya...
  2. Rasmi sasa Tabora United imekuwa TRA United SC

    Klabu ya Ligi Kuu ya TABORA UNITED imeuzwa rasmi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB. Timu itakuwa bado chini ya Manager wa TRA Mkoa wa Tabora mpaka mwezi Januari 2026 ambapo itahamia Dar es Salaam. Mameneja na wamutimishi wa TRA mikoa ambayo timu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…