Nina jambo ambalo linaumiza sana aisee, ni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenye Kifurushi cha Toto Afya ambayo kinalipiwa Shilingi 150,000/=.
Mtoto wangu amezaliwa na tatizo la maji mengi kichwani (Hydrocephalus) na akafanyiwa operation Hospitali ya Taifa Muhimbili, anatakiwa...