tonetone chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Simiyu: CHADEMA yaingia Mitaani kuhamasisha Tonetone, wananchi wajazana, shughuli zavurugika

    Hii ndio Taarifa ya sasa inayosambaa kwa kasi kila mahali Mpango huu kabambe unaongozwa na John Heche ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho
  2. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa huko ulipo unapata usingizi? Bado mil 7 CHADEMA wafikishe mil 245.

    Alizuia wafanyabiashara wasiichangie CHADEMA👇 Soma Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
  3. JamiiForums Tanzania Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema badala ya baadhi ya watu kuwahamasisha vijana kujihusisha na shughuli za uzalishaji na ujasiriamali, wamekuwa wakiwahamasisha kutoa fedha walizonazo kwa maslahi ya watu wengine. “Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo...
  4. JamiiForums Tanzania Siku 5 za Marathon ya CHADEMA Tsh. Milioni 70 zachangwa

    Hakika Shetani hajawahi kumshinda Mungu Hii ni rekodi ya ajabu Sana! UPDATES ×××××××× Taarifa Mpya zinaeleza kwamba sasa ni zaidi ya Mil 100, tunakimbilia mil 200 Pia soma: Njama za kuhujumu Marathon ya CHADEMA zaanza kupangwa
  5. JamiiForums Tanzania Public Sympathy: Maelfu ya Wananchi waomba kumchangia Heche baada ya mfumo kumuundia zengwe la uongo kufisadi michango ya "Tone Tone"

    Zengwe walilobuni mfumo la kumzushia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndg. John Heche limemnufaisha zaidi yeye na chama chake baada ya wananchi kukataa "Kununua huo uzushi". Badala yake sasa wameomba Heche awape utaratibu wa kutuma michango yao ili wamchangie yeye kama yeye na si chama tena!
  6. JamiiForums Tanzania Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amethibitisha kuwa fedha zote zinazochangwa na wananchi pamoja na wanachama, ikiwemo mifumo ya kielektroniki na zile za "tonetone" zinazokusanywa mikutanoni, ziko salama kabla na baada ya matumizi. Mnyika aliongeza kuwa, kwa mujibu wa taratibu za kifedha za...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda mikutano ya CHADEMA mikoani ikasitishwa wakati wowote kuanzia sasa

    Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku. Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema...
  8. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kumnyonya mwananchi

    Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much. Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha...
  9. JamiiForums Tanzania Kampeni ya Michango ya Tone Tone yatia fora Bukoba, Hela zahesabiwa hadi usiku mwingi, Mzigo wa kutosha wapatikana

    Hii ndio Taarifa mpya kutokea Bukoba Mjini, unaambiwa watu wameuza Mikungu ya Ndizi ili kuchangia Tonetone ya Chadema. Habari zinaeleza kwamba imebidi waitwe Wahasibu wa dharula kuhesabu fedha za michango hiyo, kiukweli hii ni rekodi Pichani ni hela za kikapu cha kwanza tu, huku taarifa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kwa kuanza kuchangisha Tonetone ya Kapu kwenye Mikutano , ni Mwanzo mzuri , Kuna Pesa ilikua inapotea kizembe !!

    Wakati Tonetone ya kidijitali ikizidi kuchanja Mbuga ,,, ni vema Matangazo ya Chama kuwaalika Watanzania mikutanoni yaendelee kuwakumbusha kubeba "Chochote Kwa ajili ya Chama". Pesa za Kwa papo Kwa papo, zitasaidia Shughuli ndogo ndogo za Usafiri, Malazi, Chakula ,n.k !! LISSU NI MSIKIVU...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA haina budi kumtumia Emanuel Nchimbi ili kuboost kampeni yao ya kidigitali ya Tone Tone

    Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Fedha ya chama hicho Godbless Lema ameeleza kuwa mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali ambayo utamuwezesha mtu yeyuote kuchangia kwa kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…