Mke wa mwanamuziki Akon, Tomeka Thiam ameomba talaka baada ya kuwa kwenye ndoa kwa takribani miaka 29.
Kwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa TMZ, inaeleza mke wa Akon aliwasilisha kesi ya kudai talaka siku 4 kabla ya kuadhimisha Anniversary ya kutimiza miaka 29 ya ndoa yao.
Sababu ya kudai...