Katika jitihada za kutokomeza ukahaba, tumeshuhudia jinsi mkuu wa wilaya ya ubungo na jeshi la polisi walivyofanya operesheni za kuwakamata wanawake na wanaume wanaodhaniwa kujihusisha na biashara hii haramu. Hata hivyo, mbinu zinazotumiwa mara nyingi zinavunja haki za binadamu kwa namna...