tiss na jwtz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
  2. 'Inkotanyi': Falsafa muhimu inayopaswa kufundishwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa JWTZ na TISS

    Nchini Rwanda kuna falsafa muhimu sana inayotumiwa kumaanisha kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo na kuwalinda Wananchi na maslahi yao. Falsafa hiyo inapatikana kwenye neno Inkotanyi. Neno hili linamaanisha nguvu ya pamoja inayofanywa kwa ujasiri ili kulinda Wananchi na kusimamia maslahi mapana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…