TISEZA KUTOA ARDHI BURE KWA WAWEKEZAJI, Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike.
Eneo la NALA DODOMA lipo kilometa 10 kutoka reli mpya ya SGR ilipojengwa.
Je TISEZA inasomana na reli mpya ya SGR ili wawekezaji waweze lutumia reli hiyo ya matrilioni ya shilingi
Ni muhimu maeneo ya pembezoni...