thibitisha picha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SI KWELI Video hii ni Tembo akimuokoa chui kwenye kwenye mafuriko huko Indonesia

    Video imeripotiwa kuwa ni tukio lililotokea nchini Indonesia baada ya mafuriko makubwa ambapo tembo anaonekana akimuokoa Chui kutoka kwenye mafuriko hayo kitendo kilichovutia watu wengi. Je, video hii ni halisi au imetengenezwa?
  2. KWELI Eneo iliporekodiwa video hii ni makutano ya barabara Moshi mjini, Kilimanjaro

    Mdau tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi iliporekodiwa video hii?
  3. KWELI Nyenzo za kidigitali zinabainisha eneo ilipopigwa picha hii ni fukwe za Ziwa Nyasa Kyela, Mbeya

    Tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi ilipopigwa picha hii amba mdau aliuliza "hii ni sehemu gani bongo?" Je, umetumia nyenzo gani kujua eneo halisi?
  4. KWELI Picha hii ni halisi, ilipigwa mkoa wa Mbeya, Tanzania

    Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha, bainisha eneo halisi picha hii ilipopigwa na Nyenzo uliyotumia.
  5. KWELI Picha hii ni kutoka Pacific Palisades, Los Angeles, California nchini Marekani

    Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha bainisha eneo halisi picha ilipopigwa na nyenzo uliyotumia.
  6. KWELI Picha hii ilipigwa katikakituo cha Zabriskie, Hifadhi ya Taifa ya Bonde la Kifo, California, Marekani

    Je, unaweza kutumia nyenzo mbalimbali za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha? Mdau, huku ukieleza nyenzo uliyoitumia, bainisha eneo halisi ambapo picha hii ilipigwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…