Google yenyewe inasema “no wand required” — yaani huhitaji fimbo ya kichawi; kutumia huu mfumo 😎.
Google imeleta Harry Potter Audiobook Packs kwenye Pixel, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea ujio wa matoleo mapya ya Harry Potter: The Full-Cast Audio Editions kwenye Audible. 🎧📚
Sasa unaweza...