Masaa 2 yaliyopita mfungaji bora wa ligi kuu msimu wa 2023/2024 na mchezaji bora namba 2 Stephan Aziz Ki ametumia ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwaaga mashabiki, wanachama, viongozi, wachezaji wenzie na Rais wa Yanga na kuwatakia kheir.
Ilikuwa ngumu kama ambavyo Bin Kazumari aliripoti awali...