Kuna siku nilikutana na jamaa mmoja mfanyabiashara anasafiri sana nje, anasema alikutana na mzungu siku Moja akamwambia Tanzania pananuka. Yeye anasema aliona kama Yuko offended lakini alipata nafasi kufikiria na Kwa experience ya safari zake alikiri ni kweli.
Anyways, KIla mwezi hua natembelea...