Wakuu,
Ile kesi ya watakaji waliofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza inaendelea leo na kesho yaani June 9 na 10, 2025 katika Mahakama ya Kinondoni.
Ngoja tuone nini kitaendelea leo na kama waandishi wataruhusiwa kwenda kuripoti, maana ni kama kila anayejaribu kufuatilia anaambiwa atulize fuvu.