Na Brighton Masalu
MGOMBEA ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko ameonesha dira thabiti ya maendeleo na kufufua matumaini kwa wananchi wa jimbo hilo.
Akizungumza na halaiki ya wananchi waliohudhuria kwa wingi mkutano wa kampeni za mgombea...