FURSA YA UBIA: Natafuta Mwekezaji wa Mradi wa Parachichi Hass Ekari 10 Njombe/Iringa (Mtaji 100%, Ubia 60% Miaka 5 ya Mwanzo)
Wakuu, habari za wakati huu.
Natafuta mwekezaji makini (Silent Partner) wa kuweka 100% ya mtaji wa awali ambao ni Tsh Milioni 37.4 kwa ajili ya mradi wa kilimo cha...