Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashuka dimbani leo katika mchezo wake wa mwisho wa Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inayoendelea nchini Morocco. Mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Stade Prince Moulay Abdallah, kuanzia saa 1:00 kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki...