Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Russia imefungua ukurasa mpya wa ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, huku nchi hizo zikikubaliana kushirikiana katika maeneo tisa ya kimkakati yenye thamani ya uwekezaji inayokadiriwa kufikia Sh5.25 trilioni.
Makubaliano hayo yanahusisha sekta za...