Wakuu,
Naona Jeshi la Polisi linatumia nguvu sana kukanusha uwepo wa kundi hili la Tanzania Freedom Fighters badala ya kutuoneyesha wamefanya nini kuwakamata/kuwadhibiti na kurejesha 'amani' nchini.
Ni kama vile wanajaribu kuficha kuliko kudili na tatizo! Baada ya ile clip ya kwanza kusema...
Nimeona video kiongozi wa kikundi Cha uasi Cha kutetea raia akitoa tamko dhidi ya serikali haramu ya tanzania hususani kwawataja sana polisi aisee kumeanza kuchangamka ni moto hii ni screenshot video ipo kwenye hiyo page Instagram ni moto kiongozi ameomba wananchi wakipokee Kwa mikono miwili na...