Habari za mida hii wanajf?
Napenda Leo nilete tatizo ambalo limekua kwa kipindi sasa na TANESCO hamna action walioi-take.
Mimi no mkazi wa Kahama Municipal, Ukiwa Shunu kuja huku Hongwa Tanesco wamezidisha kero na hatari kwa wakazi wa eneo hili.
Toka waweke nguzo na nyaya zipo chini nawakati...