tanesco huduma kwa wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANESCO huduma kwa wateja hongereni sana kwa huduma nzuri

    Kipekee nipende kuwapongeza TANESCO upande wa huduma kwa wateja wako vizuri sana kuliko taasisi yoyote ile ya serikali (nadhani) wanapokea simu faster sana na kurespond. kama fire wangekuwa hivi tungefika mbali Halafu kuna RITA sasa hao hata namba iliyo kwa website yao haipatikani .
  2. KERO Hawa TANESCO kila siku usiku lazima wakate umeme Kivule na mitaa yake

    Wiki Sasa kumezuka tabia ya Tanesco kukata umeme bila taarifa na kurudisha saa 7 usiku Hili zoezi lao litaigharimu CCM maeneo haya.
  3. TANESCO: Wateja mnaotumia Yas tumieni mitandao mingine ili kuwasiliana na huduma kwa wateja

    Wanabodi Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuwa wateja wanaotumia mtandao wa simu wa YAS wanakumbana na changamoto ya kupiga simu kupitia namba ya huduma kwa wateja 180. TANESCO imewashauri wateja hao kutumia mitandao mingine ikiwemo Vodacom, Airtel, Halotel na TTCL, au kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…